RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa Dhifa Maalum ya chakula maalum alichowaandaliwa Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 kwa ushind
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa Dhifa Maalum ya chakula maalum alichowaandaliwa Wachezaji wa Timu ya Karume Boys U-15 kwa ushindi wa Ubingwa wa Kombe la CECAFA U-15 kwa kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda u-15 katika mchezo wa Fainali uliofanyika Nchini Uganda wiki iliyopita, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-11-2023