RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Mhe.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akumuapisha Mhe.Salum Hassan Bakari kuwa Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar, hafla hiyo ya kuapishwa iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-11-2023 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said