RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, alimsikiliza Msaidizi na Mratibu wa Kituo cha Kisomo cha Masafa marefu wa Chuo cha ZU Kubele Tunguu Wilaya ya Kati Ung
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, alimsikiliza Msaidizi na Mratibu wa Kituo cha Kisomo cha Masafa marefu wa Chuo cha ZU Kubele Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, Muhusin Mustafa, baada ya kukifungua Kituo cha Kujisomea cha Masafa Marefu katika Chuo hicho, wakati wa hafla ya Mahafali ya 21 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2023 katika viwanja vya Chuo Kibele Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja