Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati akiyafungua mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uandaaji wa Mipango ya maendeleo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati akiyafungua mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (katikati).