Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabw
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi.Zamzbia,Zimbabwe na Zambia Bw.Nathan M.Belete (wa pili kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (wa pili kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dkt. Saada Mkuya Salum na katibu Mkuu Dkt.Juma Malik Akil.