Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadiliashana mawazo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar (katikati) mara baada ya hafla.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadiliashana mawazo na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania,David Concar (katikati) mara baada ya hafla ya Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kushoto) Balozi wa Hshima wa Brazil hapa Zanzibar Mhe.Abdulsamad Abdulrahim.