Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar   Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la Ch

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda na Biashara la China Bw.Xu Lejiang wakati wa mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao