Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar mgeni wake Balozi wa Morroco Nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Goumiri, baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.