Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanz
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis baada ya kumkaribisha alipowasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini.