Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Balozi wa Korea Nchi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo wakifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.