Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bi.Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Za

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bi.Khadija Shamte Mzee kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ikulu jijini Zanzibar,kabla alikuwa Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar