Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZEEA Ndg.Juma Amour Mohamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya ZEEA Ndg.Juma Amour Mohamed katika hafla ya Mwaka mmoja wa Taasisi hiyo iliyochini ya Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Kazi na Uwekezaji sambamba na Tamasha la Fahari ya Zanzibar lililofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki