Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea zawadi maalum kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman katika hafla ya Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.