Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Balozi Habibu A. Mohamed anaeiwakilisha Tanzania katika Nchi ya Doha,Qatar akiwa ni miongoni mwa Mabalozi walipofika kujitambulisha na kumuaga Rais,Ikulu Jijini Zanzibar