Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi na Viongozi katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake kwa wananchi na Viongozi katika hafla ya Utiaji wa Saini Makubaliano ya Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Pemba, baina ya Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi na Kampuni ya Propav kutoka nchini Barazil na Kampuni ya Mecco Tanzania, iliyofanyika ukumbi Ikulu Jijini Zanzibar katika mwendelezo wa shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.