Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua kipazia kuonyesha ishara ya kuzindua rasmi Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Maghar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifungua kipazia kuonyesha ishara ya kuzindua rasmi Mji wa Dkt. Hussein Mwinyi uliopo Mombasa, Mkoa wa Mjini Magharibi, na kuutaka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) kuendelea kujikita katika utekelezaji wa miradi mikubwa yenye tija kwa maendeleo ya Taifa