Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 5 Machi 2026, alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya KCB Tanzania, Ndg. Cosmas Kimario, pamoja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt .Hussein Ali Mwinyi akizungumza leo, tarehe 5 Machi 2026, alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya KCB Tanzania, Ndg. Cosmas Kimario, pamoja na Mwenyekiti wake wa Bodi, Balozi Peter Kallaghe, wakiongozana na watendaji wa benki hiyo waliofika Ikulu, Zanzibar