RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, wakati akitembelea jengo la Skuli.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, wakati akitembelea jengo la Skuli ya Msingi Makangale Wilaya ya Micheweni Pemba leo 26-7-2022, akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba,na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe. Salama Mbarouk.