RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili viwanja vya Kambi ya Jeshi la Kujenga
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Kamanda Mkuu Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi alipowasili viwanja vya Kambi ya Jeshi la Kujenga Uchumi Kama, Wilaya ya Magharibi "A" kwa ajili mya kuzungumza na Maafisa na Askari wa Vikosi vya SMZ leo katika shamra shamra za Miaka Mitatu ya Uongozi wake