Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kik
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za Mahfali ya 19 ya Chuo katika Kampasi ya Tunguu,Mkoa wa Kusini Unguja.