Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (kulia kwa Rais)