Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) pamoja na familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) pamoja na familia ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Bi.Yasmin Alloo wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto) leo nyumbani kwao Kiponda kwa kufiliwa na shangazi yake BI.Zainab Esmail Hasham Alloo, mwanzoni mwa mwezi.