Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimpa mkono wa pole Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimpa mkono wa pole Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid mara baada ya swala ya Maiti kumswalia Marehemu Habibu Ali Mohamed aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Mtambile, katika masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Mjini Magharibi (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla 03/03/2023