Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kushoto) katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja