Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha Mahkama mara baada ya kukizindua leo katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya S
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akionesha kitabu cha Mahkama mara baada ya kukizindua leo katika sherehe ya maadhimisho ya siku ya Sheria Zanzibar yaliyofanyika leo viwanja vya Mahkama Kuu Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja(kulia) Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Prof.Ibrahim Khamis Juma (kushoto) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla