Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe:Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiandoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Dakhalia ya wasichana ya Skuli ya Fidel Castro umegharimu shilingi bili
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Mhe:Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiandoa kipazia kuashiria uzinduzi wa Dakhalia ya wasichana ya Skuli ya Fidel Castro umegharimu shilingi bilioni 1.5 na ina uwezo wa kuchukua wanafunzi 288, kwa wastani wa wanafunzi 28 kwa kila darasa. Mradi huu wa Dakhalia ya wanafunzi wa kike wa Skuli ya Fidel Castro ndio wa kwanza kufunguliwa na Rais Dkt. Mwinyi kisiwani Pemba tangu kuchaguliwa tena kuiongoza Zanzibar kwa kipindi cha pili cha Awamu ya Nane.