Rais wa Zanziibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake leo katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.