Rais wa Zanziar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Cheti Mwakilishi wa Kikundi cha mazoezi cha IFM cha Dar es Salaam Ndg,Bin Rashid,wakati wa Tamasha la Bonanza la michezo lililofanyika kisiwani Pemba,Uwanja wa Gombani ya kale Wilaya ya Chakechake Mkoa wa Kusini Pemba katika maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar 01/01/2023