MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Tamasha la kumpongeza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, lililoandaliwa na CCM Zanzibar la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika jana usiku 11-12-2022 katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Rais Mstafu wa Tanzania Mama Siti Mwinyi na (kula kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.