Tamasha la usiku wa Dk.Mwinyi la kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Hussein Mwinyi viwanja vya Maisara Suleiman Unguja,tarehe 11 Disemba,2022.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuwapongeza Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, baada ya kumaliza kutowa burudani katika Tamasha Maalum la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 11-12-2022,lililoandaliwa na CCM Zanzibar na kuwashirikisha Wasanii wa vikundi mbalimbali wa Muziki wa Taraab na Bongo Fleva.