Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman9kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud,wakiitikia dua aliyoimba Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi(kushoto)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto)Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Sheria,Katiba,Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman9kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahamoud,wakiitikia dua aliyoimba Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi(kushoto) baada ya Futari aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja jana katika Ukumbi wa Chuo cha Amali Mkokotoni Wilaya ya Kaskazini "A".