Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof.Song Li Juan, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akibadilishama mawazo na Viongozi wa Serikali,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, iliyofanyika katika Masjid Taqwaa Bambi Wilaya ya Kati,Mkoa wa Kusini Unguja, leo 7-6-2025
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi,akiwasili katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohammed Shein – SUZA, Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kuhudhuria katika Baraza la Eid
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa Masjid Taqwa katika kijiji cha Bambi, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo tarehe 7 Juni 2025.
Media
News and Events
Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefika nyumbani kwa familia ya Marehemu Sheikh Jabir bin Haydar bin Jabir Al-Farsy eneo la Kikwajuni, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi kutoa salamu za rambirambi pamoja na kuifariji familia hiyo kufuatia msiba wa Sheikh Jabir ulitokea tarehe 28 Mei 2025.
President
H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council
Talk to the President
News and Events
Zanzibar inajipanga kuendelea kujenga Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kuiifanya kuwa Kituo bora cha Utoaji wa huduma za Usafiri wa Anga
12 Jun 2025
by Ikulu Staff
SMZ imeweka mkazo kuifungua Pemba kiuchumi.
11 Jun 2025
by Ikulu Staff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof.Song Li Juan, baad
10 Jun 2025
by Ikulu Staff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati akibadilishama mawazo na Viongozi wa Serikali,baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al-Adha, il
07 Jun 2025
by Ikulu Staff
More News and Events
Videos
Facebook
Publications
Hotuba ya Waziri wa Nchi Afisi ya Rais - Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026
13 May 2025
Hotuba ya maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Tarehe: 11 Januari, 2025
11 Jan 2025
Hotuba ya Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi, Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mjini Magharibi.
19 Apr 2024
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa Duru ya kwanza ya Utoaji wa Vitalu kwa Kampuni kwa Maeneo ya Baharini
20 Mar 2024
English
Swahili