Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati alipoungana na waumini katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu wakati alipoungana na waumini katika Sala ya Ijumaa iliyosaliwa Msikiti wa Fatma Bint Mirdas, Kilimani.