Media

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA HABARI,UTALII NA MAMBO YA KALE.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein emesema kuwa dhamira ya Serikali ya kununua Mtambo mpya wa uchapaji wa magazeti ni kuhakikisha kiwango cha uchapishaji…

Read More

DK.SHEIN AMEKUTANA NA UONGOZI WA WIZARA YA ARDHI,NYUMBA,MAJI NA NISHATI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amesisitiza haja kwa uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji na Nishati kuvitumia vyombo vya habari kuyatangaza mafanikio…

Read More

DK.SHEIN AMEZINDUA JUMUIYA YA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braaza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka jamii kuzingatia umuhimu wa kuwaheshuimu na kuwatendea wema wazee, kwa kutambuwa kuwa ni misingi muhimu ya…

Read More

Umoja wa Mataifa (UN) umeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar.

UMOJA wa Mataifa (UN) umeahidi kuendelea kuiunga mkono Zanzibar katika kuhakikisha miradi yote ya maendeleo inayosimamiwa na Mashirikia yake inatekelezwa kikamilifu na kupata mafanikio kwa azma…

Read More

DK. SHEIN AMEMUAPISHA NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein leo amemuapisha Khadija Khamis Rajab kuwa Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda.

Read More

Uzinduzi wa Mkutano wa Wakuu wa Sadc

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo amekabidhiwa rasmi Uwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) baada ya aliekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo…

Read More