Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuhakikisha kituo cha Afya Kidimni kinakuwa na wataalamu wa huduma zote zinazopatikana kituoni hapo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Wizara ya Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto kuhakikisha kituo cha Afya Kidimni kinakuwa…

Read More

Uzinduzi wa Taasisi Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)

ya MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema kuwa dhamira iliyompelekea kuanzisha Taasisi Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), ni kuweza kutumia ujuzi, maarifa na uzoefu alionao katika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Hayati Dr, Mwelecele Ntuli Malecela (Dr. Mwele) ni mwanataaluma aliejitolea kwa dhati kulipigania Taifa la Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Hayati Dr, Mwelecele Ntuli Malecela (Dr. Mwele) ni mwanataaluma aliejitolea kwa dhati kulipigania Taifa la…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia haki na uadilifu.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa kuzingatia haki na uadilifu kwa kutambua dhima kubwa waliyonayo…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Salum Yussuf Ali

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna Mkuu wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) Salum Yussuf Ali ili kupisha uchunguzi wa kina…

Read More

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar imekuwa ni nchi ya kwanza Afrika kutumia teknolojia ya mashine ya kupimia UVIKO 19 (EDE Covid Scanners).

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Zanzibar imekuwa ni nchi ya kwanza Afrika kutumia teknolojia ya mashine ya kupimia UVIKO 19 (EDE Covid…

Read More