Mama Mariam Mwinyi amewapongeza Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kumuunga mkono Dkt. Mwinyi kwa kumchangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kuchukua fomu kesho katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zan
Mama Mariam Mwinyi amewapongeza Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kumuunga mkono Dkt. Mwinyi kwa kumchangia Shilingi Milioni 35 kwa ajili ya kuchukua fomu kesho katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).