MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya
MGOMBEA Urais wa Zanbzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji George Joseph Kazi, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar Maisara Jijini Zanzibar leo 30-8-2025