Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa CCM, kuweka usimamizi mzuri wa mapato yanayotokana na mradi wa maduka ya Darajani.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka uongozi wa CCM, kuweka usimamizi mzuri wa mapato yanayotokana…
Read More