Media

Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta…

Read More

Dk. Hussein Mwinyi amemuapisha Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla pamoja na Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amemuapisha Jaji Mkuu wa Zanzibar Khamis Ramadhan Abdalla pamoja na Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, kufuatia…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta ya afya,Elimu na Ustawi wa Jamii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameushukuru Mfuko wa Misaada wa Sheikh Zayed bin Sultan Al Nahyan kwa kuiunga mkono Zanzibar katika kuimarisha sekta…

Read More

Dk. Hussein Mwinyi amesema uamuzi wa kufanyika kwa Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika,utainufaisha sana Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi amesema uamuzi wa kufanyika kwa Kongamano la Mahakama za Kikanda na Kitaifa Barani Afrika, utainufaisha sana Zanzibar…

Read More

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ameunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane chini ya uongozi wa Rais Dk. Hussein Mwinyi katika ukusanyaji mapato;

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi ameunga mkono juhudi za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Awamu ya Nane chini ya uongozi wa Rais Dk. Hussein Mwinyi katika ukusanyaji mapato kwa kutumia…

Read More