RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mshauri wa Shirika la Fedha Duniani ( IMF) Masuala ya Maendeleo Barani Afrika.Mr.Charalambos G.Tsangaride

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mshauri wa Shirika la Fedha Duniani ( IMF) Masuala ya Maendeleo Barani Afrika. Mr. Charalambos G.Tsangarides (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiongozana na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 6-5-2022