Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi Mhe Polepole Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemueleza Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Hezron Polepole umuhimu wa kwenda kuifanyia…
Read More