Dk. Hussein Mwinyi ameishukuru Bodi ya Taasisi ya ‘Mkapa Foundation’ kwa kuona umuhimu wa kuichaguwa Zanzibar kuwa mwenyeji wa maadhimisho ya kumbu kumbu ya Rais wa Awamu ya tatu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi ameishukuru Bodi ya Taasisi ya ‘Mkapa Foundation’ kwa kuona umuhimu wa kuichaguwa Zanzibar kuwa mwenyeji wa maadhimisho…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumin wa Dini ya Kiislamu Shehiya ya Unguja Ukuu, kutumia vyema msikiti wa Al-Noor kwa ajili ya kujadili matatizo yanayoihusu jamii na kuyatafutia ufumbuzi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amewataka waumin wa Dini ya Kiislamu Shehiya ya Unguja Ukuu, kutumia vyema msikiti wa Al-Noor kwa ajili ya kujadili…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amehudhuria Mahafali ya 40 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika katika uwanja wa Mao Ze Dong, Zanzibar.

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania kimetakiwa kuangalia mitaala yake jinsi itakavyosaidia kuandaa Wataalamu watakaoweza kutekeleza dhamira ya kujenga uchumi mpya unaozingatia matumizi ya rasilimali…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi ameigiza Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha changamoto iliyojitokeza ya ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo ya Mji wa Zanzibar inapatiwa ufumbuzi wa haraka

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameigiza Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) kuhakikisha changamoto iliyojitokeza ya ukosefu wa maji kwa baadhi ya maeneo…

Read More