RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia
ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana
na Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Dr. Abdalla Juma
Mabodi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Bi.Lela Burhani Ngozi,alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.