Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Viwanja vya Michezo Matumbaku Miembeni ikiwa ni shamra shamra za Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Viwanja vya Michezo katika eneo la Matumbaku Miembeni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar,ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, viwanja hivyo vinavyojengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Matumbaku miembeni Wilaya ya Mjini Unguja 9-1-2023, kwa ajili ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Viwanja vya Michezo vinavyojengwa katika eneo hilo na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar(ZSSF) ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) Ndg. Nassor Shaaban Ameir, akitowa maelezo ya ujenzi wa viwanja vya michezo vinavyojengwa katika eneo la uwanja wa matumbatu miembeni Wilaya ya Mjini Unguja, ikiwa ni shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum.
Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM na Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (kulia) alipokuwa akizungumza kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia)Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemedi Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Saadala 09/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemedi Suleiman Abdulla, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt. Hudda A.Yussuf,Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe.Tabia Maulid Mwita na Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Dr.Abdalla Juma Saadala 09/01/2023
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar pamoja na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi CCM na Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi 09/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (wa tatu kushoto) wakati alipoangalia michoro ya Ujenzi wa Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,ambapo viwanja hivyo vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF 09/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Hemedi Suleiman Abdulla (wa pili kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya ZSSF Dkt.Hudda A.Yussuf (kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zubeir Ali Maulid,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Mhe.Dkt.Sada Mkuya Salum (wa pili kulia) wakisimama Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kuweka jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
Viongozi mbali mbali pamoja na Wakuu wa Vikosi vya Uluinzi wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar ,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023.
Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU, wakishangilia wakati Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii ZSSF Ndg.Nassor Shaaban Ameir (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza kuhusiana na Ujenzi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
Vijana wa Jeshi ya Kujenga Uchumi JKU, wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi Viwanja vya Michezo Matumbaku,Miembeni Jijini Zanzibar,vilivyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,sherehe zilizofanyika leo katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 09/01/2023
Rais wa Zanzibar Dk.Mwinyi amefungua Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiwasalimia na Wananchi waliofika kupata matibabu wakati wa sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la ufunguzi wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023, lililojengwa kupitia fedha za UVIKO-19 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kushoto )Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Jengo la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa kwa fedsha za UVIKO-19, baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo 7-1-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi Ali Said akitowa maelezo ya ujenzi wa Hospitali hiyot, wakati akitembelea jengo jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kulifungua rasmin leo 7-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Khafidh (Diaspora) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo aliyoifungua ambayo imejemngwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 07/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa nne kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,Makamo wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla,Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(wa pili kushoto) na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (wa tatu kulia) 07/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo wakati alipofungua Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(wa pili kulia) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika sherehe ya ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.`Rashid Hadid Rashid 07/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja katika shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(wa tatu kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi 07/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (kulia) na Naibu Waziri wa Afya Mhe,Hassan Khamis Khafidh (Diaspora) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja aliyoifungua ambayo imejemngwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF,katika sherehe za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 07/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui(kulia) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla wakiwa katika Sherehe za ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani ya Mkoa wa Kusini Unguja zilizofanyika ambapo wananchi wa Vijiji mbalio mbali vya Wilaya hiyo wamehudhuria katika sherehe hiyo 07/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla(Mabodi) 07/01/2023.
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutua yake baada ya kuifungua Hospitali hiyo leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, 07/01/2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya –Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-1-2023 lililojengwa kwa fedha za UVIKO-19 na (kushoto kwa Rais) Mama Mariam Mwinyi,Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya sherehe za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla(Mabodi)07/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akitoa Hutuba yake leo katika sherehe za Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja leo ambayo imejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF, (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar DK.Abdalla Juma Sadalla (Mabodi) 07/01/2023.
MUONEKANO wa Jengo Jipya la Hospitali ya Wilaya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, lililojengwa kwa Fedha za UVIKO -19, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Jengo la Ghorofa la Kisasa la Hospitali ya Wilaya ya Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja lililofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ambalo limejengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika la Fedha Duniani IMF 07/01/2023.
Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Salum Turky Zanzibar.
wanafunzi waliofika katika Chumba cha maktaba kujisomea vitabu mbali mbali kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Ujumbe wake (hawapo pichani) wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(kushoto) akiwepo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg. Khamis Abdulla Said wakati mwanafunzi Abdul Aziz Sleiman Ali wa darasa la 7 alipowa karibisha katika Chumba cha Maktaba wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi mwengine wakipata maelezo wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Tehama wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) na Viongozi mwengine akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Khalfani Abdalla Saidi 7 wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Sayansi wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF,hafla iliyofanyika katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine walioshuhudia,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghari Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa (kulia) 06/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,Viongozi wengine wakishuhudia katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
Wanafunzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-BintiAmran wakifurahia ujio Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) waliojipanga wakati wa mapokezi ya alipowasili kuifungua rasmi skuli hiyo katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023
Ufunguzi wa Masjid Salim Sogea Zanzibar.
Waumini wa Dini ya KLiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Waumini wa Dini ya KLiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini alipoufungua rasmi leo,na kuwataka waumini hao kuutumia kwa kutatua changamoto mbali mbali zinazohusu jamii na kutatua migogoro ya kifamilia 06/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Masjid Salim, uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini alipoufungua rasmi leo, ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria 06/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuufungua Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim,uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo.
Msikiti wa Ijumaa Masjid Salim uliopo Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walishuhudia Ufunguzi huo 06/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mara alipowasili katika ufunguzi wa Masjid Salim,Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini ,ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo 06/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamali Kassim Ali (kushoto) wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Masjid Salim, Sogea Jimbo la Magomeni Wilaya ya Mjini, ambapo Waumini mbali mbali na Viongozi walidhuhuria katika Ufunguzi huo 06/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiongoza matembezi maalum ya UVCCM Zanzibar na Tanzania Bara yaliyoanzia viwanja vya Mnara wa Kisonge,Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.