Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania"UWT
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania "UWT"(hawapo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar 16/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia)alipokuwa akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania "UWT"pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Mary Chatanda (wa pili kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya jumuiya hiyo walipofika kuonana na Mhe.Rais kwa mazungumzo yaliyofanyika Ikuilu Jijini Zanziar 16/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia)alipokuwa akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania "UWT"pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Mary Chatanda (wa pili kulia) alipokuwa akisoma taarifa ya jumuiya hiyo walipofika kuonana na Mhe.Rais kwa mazungumzo yaliyofanyika Ikuilu Jijini Zanziar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Tunzo kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania "UWT" pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Mary Chatanda alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wa Viongozi wa jumuiya hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania "UWT" (hawapo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar,16/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania "UWT" leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar wakiongozwa na Mwenyekiti wao Mhe.Mary Chatanda(wa nne kushoto) 16/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Mary Chatanda (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar 16/01/2023.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi akabidhi Kombe la Mapinduzi kwa Bingwa Timu ya Mlandege.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023, Timu ya Mlandege baada ya kuwakabidhi Kombe la Ubingwa baada ya kuifunga Timu ya Singida Big Stars katika mchezo wa Fainali uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 13-1-2023,Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023, Timu ya Mlandege baada ya kuwakabidhi Kombe la Ubingwa baada ya kuifunga Timu ya Singida Big Stars katika mchezo wa Fainali uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 13-1-2023,Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1
WACHEZAJI wa Timu ya Mlandege wakishangilia Ubingwa wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023. Baada ya kuifunga Timu ya Singida Big Stars kwa mabao 2-1.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023, Timu ya Mlandege baada ya kuwakabidhi Kombe la Ubingwa baada ya kuifunga Timu ya Singida Big Stars katika mchezo wa Fainali uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 13-1-2023,Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimvisha Medali ya Dhahabu Mchezaji wa Timu ya Mlandege Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023, baada ya kuifunga Timu ya Singida Big Stars katika mchezo wa Fainali uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 13-1-2023. Kwa bao 2-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, wakishuhudia Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita akimkabidhi zawadi Mfungaji Bora wa Michuano ya 17 Kombe la Mapinduzi Cup 2023 kutoka Timu ya Singida Big Stares. Fancy Kazadi,baada ya kumalizika kwa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup, kati ya Mlandege na Singida uliofanyika Uwanja wa Amaan Unguja
WACHEZAJI wa Timu ya Mlandege wakishangilia Ubingwa wao wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023. Baada ya kuifunga Timu ya Singida Big Stars kwa mabao 2-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wakishangilia Timu ya Mlandege baada ya kumalizika kwa mchezo wa Fainali,kati ya Timu ya Mlandege na Singida Big Stars, uliofanyika jana usiku 13-1-2023, katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kipa Bora wa Michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023,kutoka Timu ya Mlandege. Yussuf Abdul Ali, baada ya mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi uliofanyika Uwanja wa Amani dhidi ya Timu ya Singida Big Stars, mchezo iliofanyika jana usiku 13-2023 katika uwanja wa amaan Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Viongozi wa Timu mbalimbali zilizoshirika michuano ya 17 ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023, wakati wa mchezo wa Fainali kati ya Mlandege na Singida Big Stars mchezo uliofanyika jana usiku 13-1-2023 uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Kocha Mkuu wa Timu ya Singida Big Stars Hans Pluijm kabla ya kuaza kwa mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023, dhidi ya Timu ya Mlandege mchezo uliofanyika jana usiku 13-1-2023, katika uwanja wa Amaan.Timu ya Mlandege imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatili mchezo wa Fainali ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Wilaya ya Mjini Unguja.Timu ya Mlandege imeshinda kwa bao 2-1, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
Ufunguzi wa Masjid Istiqama Mkwajuni Mkoa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Istiqama Bw.Suleiman Mohamed Yahya mara alipowasili na kufungua Msikiti huo,uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja 13/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kama ishara ya Uzinduzi wa Masjid Istiqama,Msikiti uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,kwa nguvu za wananchi na ufadhili wa Bw.Suleiman Mohamed Yahya (wa pili kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (kushoto) katika sherehe iliyofanyika sambamba na Swala ya Ijumaa 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa nne kulia) akifungua pazia kama ishara ya Uzinduzi wa Masjid Istiqama,Msikiti uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa nguvu za wananchi na ufadhili wa Bw.Suleiman Mohamed Yahya (wa nne kushoto) katika sherehe iliyofanyika sambamba na Swala ya Ijumaa 3/01/2023.
Waumini wa Dini ya Kiislamu walioswali Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama,Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada Ufunguzi wa Masjid hiyo 13/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa kimpongeza Ramadhan Omar Mcha Wanamadrasa waliokuwa wakisoma Qaswida kwa Kumshindikiza Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla iliyofanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali na Waumini walihudhuria katika sherehe hiyo 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Bw.Suleiman Mohamed Yahya akiwa Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo ujenzi wake umefanyika kwa kushirikiana na Nguvu za Wananchi na Mfadhili huyo 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine na Waumini wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kushoto)baada ya hafla ya Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika 13/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo ujenzi wake ulifanyika kwa ufadhili wa Sheikh, Suleiman Mohamed Yahya na Nguvu za Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu 13/01/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mfadhili wa Ujenzi wa Masjid Istiqama Bw.Suleiman Mohamed Yahya mara alipowasili na kufungua Msikiti huo uliojengwa Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja 13/01/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotoa hutuba yake mara baada ya Swala ya Ijumaa sambamba na Ufunguzi wa Masjid Istiqama katika Kijiji cha Mkwajuni Mkoa wa Kaskazini Unguja,ambapo ujuenzi wake ulifanyika kwa ufadhili wa Sheikh, Suleiman Mohamed Yahya na Nguvu za Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam 13/01/2023
Wanafunzi wa Kidatu cha nne na Sita kukabidhiwa zawadi zao za Komputa (Laptop) na Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Komputa (Laptop) Mwanafunzi Msabaha Shaban Kassim wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba, kwa kufanya vizuri Mitihani wa Taifa ya Kidatu cha Nne mwaka 2022 na kupata daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Komputa (laptop) Mwanafunsi wa Skuli ya Sekondari ya Lumumba Kidatu cha Nne Msabaha Shaban Kassim, kwa kufanya vizuri mitihani yake ya Kidatu cha Nne mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe. Prof.Adolf Mkenda, hafdla hiyo ya kukabidhiwa Komputa kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne waliofanya vizuri Mitihani yao kwa mwaka 2022, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Komputa Mwanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Tumekuja Kidatu cha Nne Zakia Jaffar Hatib, kwa kufaulu Mtihani wake wa Taifa Kidatu cha Nne na kupata Daraja la kwanza.hafla hiyto iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu leo 11-01-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kishikwambi Afisa Mdhamani Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Pemba Bwa.Mohammed Nassor, kwa ajili ya matumizi ya Walimu wa Skuli za Msingi na Sekondari Pemba,(kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe. Prof.Adolf Mkenda,wakati wa hafdla ya kukabidhiwa Komputa (Laptop)kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne waliofanya vizuri Mitihani yao kwa mwaka 2022, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimkabidhi zawadi ya Komputa(Laptop) Mwanafunzi wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari Lumumba Mohammed Faki Hamad, kwa kufanya vizuri Mitihani yake ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la kwanza.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali waliokaa na waliosomama ni Wanafunzi Bora waliofanya vizuri Mitihani yao ya Kidatu cha Nne na Sita kwa mwaka 2022, baada ya kukabidhiwa zawadi zao Komputa (Laptop) alizowaahidi hafla hiyo iliyofanyika leo 11-1-2023 katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Vyama vya Siasa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na cha Nne waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar.
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwake ) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana na (kushoto kwake ) Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe. Prof. Adolf Mkenda na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Leila Mohammed Mussa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) kwa Wanafunzi wa Sekondari wa Kitadu cha Sita na cha Nne Zanzibar waliofanya vizuri Mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Cha Nne waliofanya vizuri mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa kukabidhi zawadi za Komputa (Laptop) alizowaahidi Wanafunzi wa Kidatu cha Sita na Cha Nne waliofanya vizuri mitihani yao ya Taifa mwaka 2022 na kupata Daraja la Kwanza, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar 11-1-2023
Uzinduzi wa Diko na Soko la Samaki Malindi Unguja
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akinunua Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Unguja Wilaya ya Mjini 10-1-2023, kwa mchuuzi Bwa. Khamis Hamad Omar, baada ya kufunguliwa Soko hili na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Shamrashamra za Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana, wakati wa Ufunguzi wa Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
WASANII wa Kikundi cha Ocean Art cha Mwanakwerekwe Unguja wakitowa burudani ya igizo la Uchumi wa Buluu wakati wa ufunguzi wa Diko na Soko la Samaki Malindizi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Mustafa Kitwana, wakati wa Ufunguzi wa Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mnada wa Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023,wakinadiwa Samaki aina ya Jodari na Dalali wa Soko hilo Bwa. Ali Hassan Mchoro, samaki huyo amebarikiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi kwa shilingi 95,000/
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mnada wa Samaki katika Diko na Soko la Samaki Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-1-2023, akinadiwa Samaki aina ya Jodari na Dalali wa Soko hilo Bwa. Ali Hassan Mchoro, samaki huyo amebarikiwa Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi kwa shilingi 95,000/ katika mnada huo na (kushoto kwa Rais) Balozi wa Japan Nchini Tanzania Mhe. Yusushi Misawa, Waziri wa Uchumi wa Buluu Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zana Ahmed Said