Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekabidhiwa Ripoti ya kuchambua maoni ya washiriki wa mkutano wa wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya siasa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar,na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika leo 10-10-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya (Kikosi Kazi) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 10-10-2022 na wa kwanza Mwenyekiti wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) Dkt.Ali Uki na Makamu Mwenyekiti Mhe Balozi Amina Salum Ali.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi) wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022

KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis Mutungi na Viongozi wengine wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi. akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
WAJUMBE wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya Siasa Zanzibar , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza kabla ya kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022
WAJUMBE wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya Siasa Zanzibar , wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza kabla ya kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2022.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ameufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja na kujumuika katika ibada ya Sala ya Ijumaa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-10-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Msimamizi wa ujunzi wa Msikiti huo Shikh.Mohammed Hamdan Mohammed, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo
WANANCHI wa Kijiji cha Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja leo 7-10-2022
USTADH.Ali Hassan Abdalla akisoma risala ya Kamati ya Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja wakati wa ufunguzi wa Msikiti huo uliofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi na kujumuika na Wananchi wa Kijiji hicho katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 7-10-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 7-10-2022,na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Msimamizi wa ujunzi wa Msikiti huo Shikh.Mohammed Hamdan Mohammed, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na Viongozi wa Kamati ya Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja, alipowasili katika viwanja vya Masjid hiyo kwa ajili ya ufunguzi wa Msikiti huo na kujumuika katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika baada ya ufunguzi wake na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuufungua Msikiti wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja 7-10-2022, baada ya ufunguzi huo amejumuika na Wananchi katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kiboje Muembeshauri Wilaya ya Kati Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Msikiti huo wa Masjid Mubarak Kiboje Muembeshauri 7-10-2022

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi(kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Rashid Hadidi Rashid na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano wa wadau wa kujadili masuala mahsusi ya Zanzibar yanayohusu Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.

Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (haypo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
WAGENI waalikwa katika Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakifuatilia mkutano huo wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Sheikh.Saleh Mohammed kutoka Kamati ya Amani na Maridhiano Zanzibar,akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
MSHIRIKI wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar Bi. Pavu Abdalla kutoka Chama cha ACT- Wazalendo akichangia Mada inayozungumzia Historia ya Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, iliyowasilisha katika mkutano huo na Prof Mohammed Makame Haji, mkutano huo unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022,
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis S.K.Mutungi akizungumza na kutowa maudhui ya Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022, uliowashirikisha Wadau wa Vyama vya Siasa Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (haypo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 4-10-2022.
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa mbalimbali na Serikali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar uliofanyika 4-10-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022.
MWENYEKITI wa Baraza la Vyama vya Siasa Mhe. Juma Ali Khatib akizungumza na kutowa Salamu za Vyama vya Siasa wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanahusu Demokrasia ya Vya Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022 na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa mbalimbali na Serikali wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar uliofanyika 4-10-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya Ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo leo 4-10-2022.
MSAJILI wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe.Jaji Francis S.K.Mutungi akizungumza na kutowa maudhui ya Mkutano wa Wadau wa Kujadili Masuala Mahsusi ya Zanzibar Yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar 4-10-2022, uliowashirikisha Wadau wa Vyama vya Siasa Zanzibar na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameshiriki Uchaguzi wa CCM wa Viongozi wa Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama tarehe 2-10-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wa CCM ngazi ya Wilaya,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani, uliofanyika katika ukumbi huo leo 2-10-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani Kichama wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) akizungumza na kutowa nasaha zake kwa Wajumbe baada ya kupiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wa CCM ngazi ya Wilaya,uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama leo 2-10-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib, wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Ngazi Wilaya ya Amani Kichama, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini leo 2-10-2022
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi ya Wilaya ya Amani wakishangilia wakati Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kuzungumza na Wajumbe baada ya kumaliza kupiga Kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Wajumbe wengizi wa ngazi ya Wilaya, uliofanyika katika ukumbi wa CCM Amani Mkoa leo 2-10-2022.
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib na Viongozi wengine alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Uchaguzi CCM Ngazi ya Wilaya ya Amani uliofanyika katika ukumbi huo leo 2-10-2022
MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipiga kura kumchagua Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Amani na Viongozi wa ngazi ya Wilaya wa CCM, uliofanyika katika ukumbi wa Afisi CCM Amani Mkoa wa Mjini Kichama.
Rais wa Zanzibar Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Mskiti wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwakumbia mkono wananchi waliofika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja alipowasili kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid hiyo 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja alipowasili kwa ajili ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid hiyo 30-9-2022, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya ufunguzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika kuitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria ufungua wa Msjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kasakazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Sheikh.Ali Suleiman Mawele.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022 na kujumuika na Wananchi katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo baada ya ufunguzi huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk,Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi baada ya kumalizika kwa hafla ya Ufunguzi wa Msikiti huo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika 30-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi na Mwenyekiti wa Kamati ya Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Sheikh.Ali Suleiman Mawele, baada ya ufunguzi wa Masjid hiyo na Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 30-9-2022 katika Msikiti huo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022. Mkoa wa Kaskazini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mwananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya Kaskazini “A” Unguja Bi. Miza Baya Khamis, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya iliyofanyika leo 30-9-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja leo 30-9-2022, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa na ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
WANANCHI wa Kijiji cha Kandwi Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia baada ya ufunguzi wa Masjid Noorul Qadiriya Kandwi na kujumuika katika Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo 30-9-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kandwi baada ya kumaliza kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Noorul Qadiriya Kandwi leo 30-9-2022, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.