Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Husseinn Ali Mwinyi akizungumza na kumsalimia Mjane wa Marehemu Mwanamapinduzi Hafidh Suleiman. Bi.Mtumwa Hussein Farahan, alipofika nyumbani kwa marehemu Kilimani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2024,kwa ajili ya kuwasalimia na kuwajulia hali familia
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwac Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani bWilaya ya Mjini Unguja leo 3-5-2024 na (kushoto kwa Rais) Imamu wa Msikiti wa Mchangani Sheikh Farid Hadi Ahmed
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali mwinyi akipokea maandamano ya wafanyakazi katika kilele cha maazimisho ya sherehe ya siku ya wafanyakazi Duniani mei mosi katika uwanja wa Gombani kisiwani Pemba.
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni zawadi ya ubingwa wa Kombe la Muungano kwa mwaka huu katika uwanja wa New Amaan Complex tarehe 27 Aprili 2024.
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia na Marehemu Fatma Sharif Juma Mke wa Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Mwera Kidogo basi Wilaya ya Kati Unguja leo 27-4-2024, kwa ajili ya kutowa mkono wa pole
President
H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council
Talk to the President
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Husseinn Ali Mwinyi akizungumza na kumsalimia Mjane wa Marehemu Mwanamapinduzi Hafidh Suleiman. Bi.Mtumwa Hussein Farahan, alipofika nyu
03 May 2024
by Ikulu Staff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Kiislam katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi
03 May 2024
by Ikulu Staff
Al hajj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameendelea kuhimiza suala la kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini
03 May 2024
by Ikulu Staff
Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza nia ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuendeleza ujenzi wa miundombinu imara kwa Sekta za Maendeleo nchini.
01 May 2024
by Ikulu Staff
More News and Events
Videos
Facebook
Publications
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Mwinyi katika kilele cha Sherehe za Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) 2024 Pemba
01 May 2024
Hotuba ya Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi, Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mjini Magharibi.
19 Apr 2024
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa Duru ya kwanza ya Utoaji wa Vitalu kwa Kampuni kwa Maeneo ya Baharini
20 Mar 2024
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi
21 Feb 2024
English
Swahili