Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kufanya Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, alipowasili Ikulu Zanzibar kwa mazungimzo akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiya, wakiwa katika ukumbi wa Ikulu wakati ukipingwa wimbo wa Taifa wa Burundi, Zanzibar, Tanzania na wa Afrika Mashariki, kabla ya kuaza kwa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 23-10-2021, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye.(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wakati wa ziara yake ya Siku moja Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye,baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula maalum cha mchana alichomuandalia mgeni wake katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye.(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, wakati wa ziara yake ya Siku moja Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar,mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mke wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Mama Angeline Ndayishimiye,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja na Mumewe Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye,baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula maalum cha mchana alichomuandalia mgeni wake katika viwanja vya Ikulu Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Mama Angeline Ndayishimiye, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja na Mumewe Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.(hayupo pichani).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Mlango wa Zanzibar,mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe Evariste Ndayishimiye, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja.
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi Maalum na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Mama Angeline Ndayishimiye,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar,akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja na Mumewe Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.(hayupo pichani)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha Mke wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Mama Angeline Ndayishimiye,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja na Mumewe Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.(hayupo pichani).
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Burundi Mama **Angeline Ndayishimiye (kulia kwake) wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar wakati wa ziara ya siku moja ya Rais wa Jamhuri ya Burundi Zanzibar.
Ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa Kijiji cha Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akiwapungia mkono waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kutoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa aliyoifungua leo katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa leo kwa waumini wa Dini ya Kiislamu (hawapo pichani) inayofanyika katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia aliyesimama) alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa kwa waumini wa Dini ya Kiislamu inayofanyika katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa aliyoifungua katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A" Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa aliyoifungua katika Masjid Fiysabillah Tabligh Markaz Zanzibar,Kidoti Wilaya ya Kaskazini "A"
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini alipowasili katika Masjid Fiysabilillahi Tabligh Markaz Zanzibar Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya ufunguzi wa Ijitimai ya Kimataifa 2021, inayofanyika leo 22-10-2021, katika Markaz hiyo na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe Ayoub Mohammed Mahmoud
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Huduma Tanzania
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii Tanzania Bara na Zanzibar (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Wakurugenzi Wakuu wa Mifuko ya Hifadhi ya Huduma za jamii Tanzania Bara na Zanzibar (kushoto pichani) walipofika kusalimiana nae Ikulu jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jwtz Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 21-10-2021,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Mathew Edward Mkingule,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha
Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi leo amewaapisha Viongozi aliowateuwa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Jaji Khamis Ramadhan Abdalla kuwa Kaimu Jaji Mkuu wa Mahkama Kuu Zanzibar katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Balozi Masoud Abdalla Balozi kuwa Katibu wa Rais wa zanzibar -Ofisi ya Rais - Ikulu hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Capt. Khatib Khamis Mwadini kuwa Naibu Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakati wa hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakiangalia hati za Viapo vyao kabla kuapishwa rasmi katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akiwa amesimama na Viongozi wengine wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa na Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Polisi katika hafla ya kuapishwa Viongozi aliowateuwa hivi karibu kushika nafasi mbali mbali za Uongozi hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman (kulia)Abdulla,Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar Mhe.Zubeir Ali Maulid pamoja na Viongozi wengine ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Viongozi walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza wa Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi hivi karibuni katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.