Toggle navigation
Leave this field blank
President's Office and Chairman of Revolutionary Council, Zanzibar
Home
President's Office
Overview
Vision & Mission
President
Past Presidents
Administration
Revolutionary Council
Office of the President
Media
News and Events
Speeches and Statements
Press Releases
Photos
Videos
Videos 2
Publications
Speeches
Action Plans
Publications
Reports
Budgets
Blog
Contact Us
Ikulu
State House Zanzibar
State House Zanzibar
Media
News and Events
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni zawadi ya ubingwa wa Kombe la Muungano kwa mwaka huu katika uwanja wa New Amaan Complex tarehe 27 Aprili 2024.
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia na Marehemu Fatma Sharif Juma Mke wa Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis (kushoto kwa Rais) alipofika nyumbani kwa marehemu Mwera Kidogo basi Wilaya ya Kati Unguja leo 27-4-2024, kwa ajili ya kutowa mkono wa pole
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mhe. Yahya Bin Ahmad Okeish, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 27-4-2024
Media
News and Events
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi wakiwa wamesimama wakiimba wimbo wa Taifa katika kilele cha Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
Media
News and Events
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Mradi wa Barabara Maeneo Huru ya Uchumi Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba, mradi huo uliozinduliwa 23-4-2024,ikiwa ni shamrashara za sherehe za Maadhimisho ya Miako 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar
President
H.E. Dr. Hussein Ali Mwinyi
President of Zanzibar and Chairman of Revolutionary Council
Talk to the President
News and Events
Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar inajengwa na sera kuu ya Uchumi wa Buluu katika kuimarisha uchumi wa watu wake
30 Apr 2024
by Ikulu Staff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dk. Hassan Sheikh Mohamud, Ikulu ndogo ya Migombani,
28 Apr 2024
by Ikulu Staff
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amewakabidhi timu ya Simba shilingi milioni 50 ambayo ni zawadi ya ubingwa wa Kombe la Muungano kwa mwaka huu
28 Apr 2024
by Ikulu Staff
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa familia
27 Apr 2024
by Ikulu Staff
More News and Events
Videos
Facebook
Publications
Hotuba ya Mheshimiwa Dr. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika Sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi, Jengo la Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Mjini Magharibi.
19 Apr 2024
Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi katika uzinduzi wa Duru ya kwanza ya Utoaji wa Vitalu kwa Kampuni kwa Maeneo ya Baharini
20 Mar 2024
Dk.Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi
21 Feb 2024
SALAMU ZA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI MHESHIMIWA, DK. HUSSEIN ALI MWINYI KWENYE KUAGA MWILI WA MAREHEMU EDWARD NGOYAI LOWASSA, WAZIRI MKUU MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO.
13 Feb 2024
English
Swahili