State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi akizindua huduma za viwango vya Kimataifa Terminal 3 uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Bw.Javed Jafferji,wakati wakitembelea Duka lake la Recycle Zanzibar katika jengo la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakati wa hafla ya Ufunguzi wa huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023.(kulia kwa Mama Mariam Mwinyi) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Bi.Kulsum Jafferji
  • WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Zanzibar ya wakimsikilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, uliofanyika 26-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya Uzindua Huduma za Viwango vya Kimataifa katika jengo la jipya la Termanal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume leo 26-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, uzinduzi huo uliofanyika leo 26-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Terminal 3, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap,Jengo la Terminal 3 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakitembelea Jengo Jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap,Jengo la Terminal 3, uzinduzi huo uliyofanyika 26-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe, Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, alipowasili katika viwanja vya Jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar kwa ajili ya hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa vya Kampuni ya Dnata,Emirate Leisure na Segap, Jengo jipya la Terminal 3 leo 26-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid.Salum Mohammed wakati akiondoka katika eneo la jengo la Terminal 3, baada ya kumalizika kwa hafla Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 iliyofanyika 26-1-2023 na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,uzinduzi huo ulioyofanyika 26-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi maalum na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohammed, hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi zawadi maalum na Mwenyekiti Mtendaji wa Dnata,Emirate Leisure Retail na MMI Ndg. Steve Allen, wakati wa Uzinduzi wa Huduma za Viwango vya Kimataifa jengo jipya la Terminal 3 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 26-1-2023

Mkutano wa Tano(5) wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar.

  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara (katikati) alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti katika mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara alipokuwa akisistiza jambo wakati alipozungumza na wajumbe wa Baraza hilo uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara (katikati) alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Baraza hilo uliofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa kikao cha tano cha Baraza la Taifa la Biashara (katikati) akiendesha mkutano wa baraza hilo uliofantyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti katika mkutano wa tano wa Baraza la Taifa la Biashara alipokuwa akisistiza jambo wakati alipozungumza na wajumbe wa Baraza hilo leo uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.
  • Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara wakipitia kuangalia mada zilizotolewa katika mkutano wa tano wa Baraza la hilo uliofanyika leo chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Ikulku Jijini Zanzibar.
  • Mawaziri wa Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa ni miongoni mwa wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi pia Mwenyekiti wa kikao cha tano cha Baraza hilo uliofantyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar

Rais wa Zanzibar Mhe,.Dk.Hussein Mwinyi Mgeni Rasmin Mahafali ya 22 ya Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alipowasili katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-01-2023 na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakielekea katika viwanja vya Mahafali hayo 21-1-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume na (kushoto kwa Rais) Makamo Mkuu wa Chuo Prof. Msafiri Mshewa
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakielekea katika viwanja vya Mahafali Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Makamo Mkuu wa Chuo Prof. Msafiri Mshewa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alipowasili katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-01-2023 na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa, wakiwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-1-2023,Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • WAHITIMU wa Mahafali ya 22 ya Chuo cha Abdulrahman Al-Sumait University Zanzibar wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Mahafali vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya kutunukiwa Shahada leo 21-1-2023
  • BAADHI ya Wazee wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakihudhuria hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yalioyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia.
  • MKUU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wahitimu wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • WAHITIMU wa Mahafali ya 22 ya Chuo cha Abdulrahman Al-Sumait University Zanzibar wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Mahafali vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya kutunukiwa Shahada 21-1-2023
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar kwa mwaka 2021 /2023 Ngazi ya Cheti Komputa na Hahari, wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume.(hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 21-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora kwa mwaka 2021/2022 wa “Ordinary Diploma (CICT)” ) Iman Mustafa,wakati wa hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar,yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 21-1-2023,(kulia) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora kwa mwaka 2021/2022 wa “Master of Arts in Shariah and Islamic Jurisprudence” Nassor Tajo, wakati wa hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023.
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar kwa mwaka 2021 /2023 Ngazi ya Cheti Komputa na Hahari, wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar,Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume.(hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 21-1-2023.
  • MKUU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume, akiwatunuku Shahada Wahitimu wa Chuo hicho kwa mwaka 2021/2022, wakati wa Mahafali ya 22 yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023 na (kulia) Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Msafiri Mshewa
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar kwa mwaka 2021 /2022 “Master of Arts in Shariah and Islamic Jurisprudence” wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume.(hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023
  • WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023.
  • BAADHI ya Wazee wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakihudhuria hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yalioyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia.
  • BAADHI ya Wazee wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakihudhuria hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yalioyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume, wakati wa hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika katika viwanja vya chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja 21-1-2023.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Gavana wa BOT na Uongozi wake Ikulu Zanziba leo.

  • AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Balozi Tuvako Manongi, baada ya kumalizika kwa mkutano na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation.Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti na fedha Mfanyakazi Bora wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Meneja Miradi Ndg.Emmanuel Mashana,wakati wa Mkutano na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi Tuzo,Cheti na Fedha Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro, wakati wa mkutano wake na Manejimenti na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023
  • MENEJIMENTI na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Watendaji wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023.
  • MENEJIMENTI na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake na Uongozi wa Taasisi hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023
  • MENEJIMENTI na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa mkutano wake na Watendaji wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti, Tuzo na Fedha Mfanyakazi Bora wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Afisa Msaidizi wa Utawala.Bi. Yasinta Stephen, wakati wa mkutano wake na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-02023, na (kushoto kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa. Balozi.Tuvako Manongi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, mkutano huo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023
  • MENEJIMENTI na Watumishi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika mkutano wake na Uongozi wa Taasisi hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation. Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Cheti, Tuzo na Fedha Mfanyakazi Bora wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa, Afisa Msaidizi wa Utawala.Bi. Yasinta Stephen, wakati wa mkutano wake na Menejimenti na Watumishi wa Taasisi hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-1-02023, na (kushoto kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Dkt.Ellen Mkondya-Senkoro na (kulia) Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa.Balozi.Tuvako Manongi

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Gavana wa BOT na Uongozi wake Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)Bwa.Emmanuel Tutuba na Gavana Mstaafu wa BOT Prof. Florens Luoga na Uongozi wa BOT,wakiwa katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023, alipofika na Uongozi wake kwa mazungumzo na kujitambulisha.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Benki Kuu ya Tanzania ukiongozwa na Gavana wa BOT Bwa.Emmanuel Tutuba, (kulia kwa Rais) na (lushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw.Emmanuel Tutuba na Gavana Mstaafu wa (BOT) Prof. Florens Luoga,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar 18-1-2023
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bwa.Emmanuel Tutuba, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Uongozi wa BOT kwa mazungumzo na kujitambulisha 18-1-2023, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu na (kulia) Gavana Mstaafu wa BOT Prof. Florens Luoga
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Emmanuel Tutuba (kulia kwa Rais) akiwa na Gavana Mstaafu wa (BOT) Prof Florens Luoga , alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 18-1-2023.